Description
YUJA NIACIN BRIGHTENING TONER
KWA WOTE WENYE MAPENZ NA NGOZI NZUR , NICE NEAT ,SMOOTH & CLEAR SKIN HII NI YAKO
Yuja niacin toner ( 90%) ya Yuja extract! Matunda ya yuja ni hybrid
ikiyotokana na machenza na malimao na yana vitamin c mara
tatu zaidi ya limao. Na sote tunajua jinsi Vitamin c ilivyo
muhimu sana kwenye ngozi zetu as ni a great anti aging factor inayozuia uzeekaji wa ngozi na kukupatia young looking skin,
Packed full of natural Vitamin C, Yuja ni miongoni mwa the
best skin brightening ingredients.Hi ni nzuri sana kwa wote
wenye ngozi zisizo na mng'ao, makovu ya chunusi na dark
spots.
With 3 times more Vitamin C than lemons, it is a potent
antioxidant that can fight against free radicals, which are a
cause of premature aging.
Bila kusahau glutathione, arbutin, aina 12 yofauti za vitamins
and lotus extract,
ambazo kwa pamoja zitaondoa blemishes,
leaving skin soft, smooth and even-toned.
Pia humu utakutana na 5% ya Niacinamide ambayo ni
amazing kwa anti-aging, wrinkle smoothing, kufifisha madoa
pamoja na kuzidisha ceramide synthesis ambayo matokeo
yake ni a stronger, healthier skin barrier and better skin
hydration. Can also help to improve several skin conditions
including acne, rosacea, and atopic dermatitis. This toner is just everything for a beautiful skin😘
85000tsh