Description
WEEKEND OFFER KWA J’MOSI & J’PILI
Jipatie Full Combo ya Sausage Chapati Veggies kwa 28,000 Tshs tu badala ya 30,000 Tshs (inakuwa na side dishes na smoothies pia)✅
Muda ni ule ule saa 4 asubuhi mpaka saa 3:30 usiku 💯
Mapema tu kesho tupo wazi, delivery pia uhakika muda wote .
Tunapatikana Sayansi karibu na mataa, barabara ya Kijitonyama [ilipo adeckjuice], pia tunafanya delivery kwa gharama nafuu 💯.
Unaweza kuweka order kwa kubonyeza link kwenye bio yetu au kwa kupiga 0756958798 ✅. Tupo wazi kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 3 na nusu usiku kila siku (closed on Wednesdays)
#chapati #chickenrecipes #daressalaam #foodporn #Tanzaniachef #chefkile #igfoods #beef #foodinspiration #foodie #africanfood #bellasroti #tanzaniafood