Description
Wateja wetu wapendwa
Usikose hii foodprocessor
Kwakweli ni zaidi ya dhahabu jikoni kwako.
Una hotel pia inakufaa cz ni heavyduty
Tumezileta mpyaa
Alafu bei sawa na bure
Usije siku ukakutana nazo alafu kwetu zikawa zimeisha
Verona food processor
Heavy duty
Watts 1000
Inakatakata salad maumbo yote
Inasaga nyama
Inatengeneza penut butter
Inasaga nafaka kavu
Nzurii
Mpyaa frm uk
Tsh 185,000/=
Delivery ipoo dar na mikoani pia.