Vaseline Mature Skin Rejuvenation Body lotion Available TSHS 40,000 . . ?Hii lotion ni kwa ajili ya mama zetu yaani watu wazima

TZS 40,000
Vaseline Mature Skin Rejuvenation Body lotion Available TSHS 40,000
.
.
?Hii lotion ni kwa ajili ya mama zetu yaani watu wazima
  • Vaseline Mature Skin Rejuvenation Body lotion Available TSHS 40,000
.
.
?Hii lotion ni kwa ajili ya mama zetu yaani watu wazima

Description

Vaseline Mature Skin Rejuvenation Body lotion Available TSHS 40,000

.

.

💞Hii lotion ni kwa ajili ya mama zetu yaani watu wazima ambao umri umeenda kidogo na ngozi imeanza kubadilika na kupoteza mvuto sababu ya uzee.

💞Inasaidia kukaza ngozi iliyo tepweta na inayo anzo kutepweta na kulegea kwa kurudisha mvuto wake (elasticity) na kusaidia ikaze.

💞Inasaidia na kuifanya ngozi iwe laini, nyororo, yenye rangi moja na ing’ae vizuri.

💞Hata kama wewe ni kijana mdogo lakini unafanya diet au mazoezi hii Lotion inakufaa sana maana mazoezi na kupungua mwili husababisha ngozu kulegea

💞Inashuriwa kutumia product za kukaza (skin firming) mapema hata kama ngozi yako iko vizuri itasaidia ngozi iendelee kukaa vizuri siku zote.

.

.

.

Call or Whatsapp ☎️📞📱 0659189769 or 0763543342

TUNAFANYA DELIVERY NA MKOANI TUNATUMA KWA GHARAMA ZAKO.

We are located in Dar Free Market Mall, 1st Floor, Oyster Bay, Ally Hassan Mwinyi Road, near the Embassies of Kenya and France.

Opening Hours:

Mon-Sat 8am-8pm

Sun 10am-6pm

#vaselineatzurii

#Skincareatzurii