#UZI KWANINI HII NI MASHINE Ni INAKUFAA KWA MATUMIZI YAKO? Kwa Kuitambulisha tu hii Inaitwa Fujitsu Esprimo D756 ni made in Ge

In Video Games & Consoles
TZS 355,000
#UZI

KWANINI HII NI MASHINE Ni INAKUFAA KWA MATUMIZI YAKO?

Kwa Kuitambulisha tu hii Inaitwa Fujitsu Esprimo D756 ni made in Ge

  • #UZI

Description

#UZI

KWANINI HII NI MASHINE Ni INAKUFAA KWA MATUMIZI YAKO?

Kwa Kuitambulisha tu hii Inaitwa Fujitsu Esprimo D756 ni made in Germany na inatumia Processor Aina ya Skylake ambayo ni intel Core i3 Generation ya sita.

Skylake Processor Ilitengenezwa na Intel mwaka 2015 na sifa yake kuu ni perfomance kubwa (3.7GHz) huku ikiwa na low power consumption ukilinganisha na watangulizi wake.

Kwa uwezo wa hii processor tegemea perfomance nzuri kuliko mashine nyingi ambazo huenda umeshazitumia hasa 4rth Gen kurudi nyuma.

Sasa kwann nasema hii #Fujitsu ni #Unyama? Sababu ni hizi 👇

🛑Kwanza inatumia RAM DDR4...RAM ambayo inaspeed kubwa (2113MB) itayokuhakikishia mbio nyingi ukiwa unarun Programs mbali mbali & Games.

🛑Huku tukifahamu kua Technology ya sasa inatuhamisha kutoka kwenye USB Ports tulizozizoea kwenda kwenye Type C ports. Hii mashine ipo mbele ya muda sana maana tayari ina Port ya Type C ambayo unaweza kuitumia.

🛑Dunia ya sasa ukiongelea Speed kwenye storage basi unaongelea SSD......Na maajabu ni kwamba hii mashine ina Slot ya kufunga Ssd. Ipo wazi na Utaitumia pindi utapohitaji perfomance zaidi.

🛑Ukiachana na Port ya Type C hii mashine ina Ports 10 za USB huku Kati ya hizo Port 6 ni zile zenye speed....yaani USB 3.0 Ports.

Kwa wale wanaopenda kufunga Disk nyingi basi huu Unyama una Slots 5 za SATA....Upewe nini kingine 😊

Sasa Imagine Processor ina Speed, RAM inaspeed na Storage inaspeed na Ports za USB Zina Speed kama sio Unyama ni nini 😄

🛑Afu Mashine nyingi za kisasa zinakosa Mlango wa CD.....Ila hii chuma ina mlango tena unaochoma Kabisa wanangu wa Library mpo hapo?

🛑Cha mwisho ni kamashine flani Portable sana.......Sio Likuuuubwaaaa......Ndio maana tunaiita Mini Tower ☺

🛑Ports za Video ni DP na DVI-D....licha ya kua DP Port ndio Port yenye Quality zaidi ila wangeweka na kaVGA au HDMI kwa wabongo ingetufaa zaidi kulingana na vioo tunavyotumia au nadanganya?

Anyway #BEC tutakupa DP Cable bureee kama kioo chako kina Hiyo Port au Converter (DP to VGA/DP to HDMI) ili kuendana na mazingira yetu.

Hizi sifa unaweza kudhani limashine la milioni.....Hapana ni 355000Tsh Tu 👋

VIPI UNAMAONI GANI KUHUSU HII MASHINE? KIPI UMEPENDA NA KIPI HUJAPENDA?