USILIME KIMAKOSA TENA,,,ZIJUE TOFAUTI ZILIZOPO KATI YA PARACHICHI AINA YA HASS NA FUERTE (ZINA SOKO ZURI SANA KWA SASA),,,??? S

TZS 1,700
USILIME KIMAKOSA TENA,,,ZIJUE TOFAUTI ZILIZOPO KATI YA PARACHICHI AINA YA HASS NA FUERTE (ZINA SOKO ZURI SANA KWA SASA),,,???

S
USILIME KIMAKOSA TENA,,,ZIJUE TOFAUTI ZILIZOPO KATI YA PARACHICHI AINA YA HASS NA FUERTE (ZINA SOKO ZURI SANA KWA SASA),,,???

S
  • USILIME KIMAKOSA TENA,,,ZIJUE TOFAUTI ZILIZOPO KATI YA PARACHICHI AINA YA HASS NA FUERTE (ZINA SOKO ZURI SANA KWA SASA),,,???

S
  • USILIME KIMAKOSA TENA,,,ZIJUE TOFAUTI ZILIZOPO KATI YA PARACHICHI AINA YA HASS NA FUERTE (ZINA SOKO ZURI SANA KWA SASA),,,???

S

Description

USILIME KIMAKOSA TENA,,,ZIJUE TOFAUTI ZILIZOPO KATI YA PARACHICHI AINA YA HASS NA FUERTE (ZINA SOKO ZURI SANA KWA SASA),,,πŸ™πŸ™πŸ‘‡

SIFA ZA PARACHICHI AINA YA HASS,,πŸ‘‡

Ina gamba gumu lenye vipele.

Linapokomaa huwa na uzito wa 200-300gm.

Ni rahisi kulima pia Ina kiwango kikubwa cha mafuta hivyo kuifanya kua parachichi maarufu zaidi duniani.πŸ‘‡

Ugumu wa gamba lake hurahisisha uhifadhi wa muda mrefu baada ya mavuno,,tofauti na aina nyingine ya parachichi.πŸ‘‡

Bei ya shamba tunda moja huuzwa 200-300/=πŸ‘‡

Mti unapofikia peak ya maturity unaweza kuzaa matunda 1700++ (miaka mitano toka kupandwa)πŸ‘‡

#NB; 80% ya kilimo cha parachichi nchini marekani ni aina ya #HASSπŸ™.

(Picha namba 1)

SIFA ZA PARACHICHI AINA YA FUERTEπŸ‘‡

Aina hii ya parachichi huwa na umbo kubwa tofauti na hass,..

Ina gamba jembamba..

Inapoiva hubakia na ukijani tofauti na hass huwa na rangi ya brown..

Tunda linapokomaa huwa na uzito wa 350-450gm..πŸ‘‡

Aina hii hufanya vizuri kwenye hali ya hewa ya baridi na joto la wastani tofauti na hass ambayo hufanya vizuri zaidi ukanda wa baridi..πŸ‘‡

Tunda moja shambani huuzwa 200-400/=

Na mti unapofikia peak ya maturity huweza kutoa matunda 1500-2600 (miaka 5 baada ya kupandwa)...πŸ‘‡

Aina hii ya parachichi inafanya vizuri sana kwenye uchavushaji tofauti na hass ndio maana kitaam tunashauri,,,ikiwa una shamba lenye hass ukubwa wa ekari moja basi changanya fuerte zisizopungua 10 kusaidia uchavushaji kwani uchavushaji usipofanyika vizuri hupelekea maua kudondoka na kupunguza kiwango cha,mavunoπŸ‘‡

Sifa nyingine ya fuerte ni kua huzaa mapema zaidi wakati wa msimu tofauti na aina zingine,,,hivyo kupelekea kupunguza ushindani wa soko kwakua aina nyingi za parachichi zinakua bado hazijakomaaπŸ™

#NB; KUMBUKA UNAWEZA KUHUDUMIWA MICHE YA PARACHICHI (HASS NA FUERTE) ILIYOLELEWA KITAALAM KUWEZA KUKUPATIA MATOKEO (MATUNDA) NDANI YA MIAKA MIWILI TU,,,,,,NI ryzer_agro_products PEKEE.

MCHE 3000/= TU.

MICHE HII INASAMBAZWA MIKOANI KWA UAMINIFU MKUBWA NA MALIPO NI BAADA YA KUPOKEA MZIGO WAKOπŸ™

WEKA ODER YAKO MAPEMA KUPITIA 0759499196 whatsap

.

Tuachie maoni juu ya ulichojifunza leo πŸ‘‡

RYZER AGRO PRODUCTS

,,,,,,,all in one,,,,,,,,