Tapeli huyu amekua akiiba material yetu nakupost kwenye page yake .kama ambavyo mnaona hapo juu hiyo golden oak ni mkeka wetu am

TZS 35,000
Tapeli huyu amekua akiiba material yetu nakupost kwenye page yake .kama ambavyo mnaona hapo juu hiyo golden oak ni mkeka wetu am
  • Tapeli huyu amekua akiiba material yetu nakupost kwenye page yake .kama ambavyo mnaona hapo juu hiyo golden oak ni mkeka wetu am

Description

Tapeli huyu amekua akiiba material yetu nakupost kwenye page yake .kama ambavyo mnaona hapo juu hiyo golden oak ni mkeka wetu ambao tunauuza 35000Tsh na mawakala wetu pia wanauza bei hiyo hiyo. Lakini huyu tapeli yeye anaiuza 55000Tsh

Account hiyo apo juu haihusiani na classic finishes, ni tapeli anaetumia trademark yetu ya mkeka wa mbao kuwatapeli wateja wetu mwenye namba ya simu 0759495064,,,, kikubwa mtu huyu anawadanganya watu kuwa anauza mkeka wa mbao lakini hauzi mkeka anauza bidhaa nyingine kwa kutumia trade mark ya mkeka wa mbao lakini pia anawaibia wateja wetu pesa na pia anatumia lugha chafu kuwajibu wateja wetu kwahiyo wateja wetu wa classic finishes tunawaomba muwe makini na mtu huyu 1: hana ofisi inayotambulika

2: hana sample zetu za mkeka wa mbao

Sisi kama classic finishes mawakala wetu wote tunaofanya nao kazi hua tunawatangaza kwenye page yetu lakini pia bei za mawakala wetu wote ni sawa na bei zetu kama kampuni Kwaiyo ogopa kuuziwa bidhaa zetu kwa bei ya juu sana na ogopa njia za mkato wanazo zitumia matapeli.

Page zetu za classic finishez ni

classic_finishestz

classic_fiishesbranch

mkekawambao

Page zetu zote hizi zina namba sawa ambazo ni

0747753566

0735282811

0655819992

Hizi ndo namba halali za classic finishez. Lakini pia kama kampuni hatujaishia hapa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mtu huyu na mwingine yeyote atakaye tumia trademark yetu kutapeli wateja

Lakini pia amekua akiiba material yetu yote kwenywe page yetu na kupost katika page yake yake fake