Small Full Combo ya watu wawili, inafaa kama hamna njaa sana ?. Ila kama unapenda kula, jichagulie medium au large tu usijitese

TZS 20,000
Small Full Combo ya watu wawili, inafaa kama hamna njaa sana ?. Ila kama unapenda kula, jichagulie medium au large tu  usijitese
  • Small Full Combo ya watu wawili, inafaa kama hamna njaa sana ?. Ila kama unapenda kula, jichagulie medium au large tu  usijitese

Description

Small Full Combo ya watu wawili, inafaa kama hamna njaa sana 😀. Ila kama unapenda kula, jichagulie medium au large tu usijitese 🙌🏾

Ni 20,000 Tshs (unapata small Sausage chapati zege, side dishes na smoothies)🔥

Tunapatikana Sayansi karibu na mataa, barabara ya Kijitonyama [ilipo adeckjuice], pia tunafanya delivery kwa gharama nafuu 💯.

Unaweza kuweka order kwa kubonyeza link kwenye bio yetu au kwa kupiga 0756958798 ✅.  Tupo wazi kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 3 na nusu usiku kila siku (closed on Wednesdays)

#chapati #chickenrecipes #daressalaam  #foodporn #Tanzaniachef #chefkile #igfoods  #beef  #foodinspiration #foodie #africanfood #bellasroti #tanzaniafood