Description
OFA KUBWA YA Valentine's Day Kwa Ajili Yako Na Uwapendao,Weka Oda Yako Mapema...Hapa Kuna;
~
🔸Chiyu Professional Hair Clipper; Ina hair clipper,Nose Trimmer na Shaver hivyo unanyolea nywele za sehemu zote huku ukiokoa gharama za viwembe na kadhia zake kama vipele na kuwashwa kwa Tsh. 29,999/= tu.
🔸Multi Function Clothing Rack; Unatumia kutunzia magauni,mashati, Viatu kwa Tsh. 42,000/= tu.
🔸Flat Top Mosquito Net (4/6,5/6,6/6); Inakuja na chuma zake hivyo ukifunga mara moja imeisha,hutopata usumbufu wa kushusha na kupanisha net kila siku huku ukipendezesha chumba chako kwa Tsh. 44,999/= tu.
🔸Double Pole Clothing Horse; Unaweza tumia dukani au nyumbani kutundikia nguo mf. suti,magauni nk. hivyo utahufadhi nguo zako kinadhifu huku ukipendezesha chumba au duka lako kwa Tsh. 65,000/= tu.
🔸Simu ya Mezani (Line 1); Inatumia line za kawaida,Nzuri sana kwa mawasiliano ya uhakika nyumbani au ofisini kwako kwa Tsh. 85,000/= tu.
🔸MGC 6pcs Granite Cookware Set; Ina Sufuria 3 (2.0kg, 1.0kg & 0.5kg) haiunguzi na haichubuki hata ukisugua.. hutohitaji kununua tena sufuria milele kwa Tsh. 115,000/= tu.
🔸Sokanyi 2 in 1 Heavy Duty Blender (2.5L & 5000W); Blender na Grinder zina jug ngumu na unatumia kusaga kila kitu hadi barafu kutokana na motor yake kubwa kwa Tsh. 120,000/= tu.
🔸Kitchen Cabinet; Imetengenezwa kwa Chuma na mbao, Haichukui nafasi kubwa na inapendezesha jiko lako (Classy) kwa Tsh. 165,000/= tu.
🔸Marble Imitated Coffee Table Set; Juu ni kioo,Classy na imara sana for Tsh. 210,000/= only.
~
Call/Whatsapp: 0752 534 207 or 0712 534 207
Tembelea page yetu silva_online_store kuona bidhaa zetu zaidi.
~
Yes,Ni free delivery in DSM na Unalipia ukipokea mzigo
Mkoani unalipia kwanza then tunakutumia mzigo wako kwa uaminifu!
Silva Online Store, "Genuine Products,That's The Whole Story."