Description
Ni wap utapata tshirt zisizo na mambo mengi kama sio kwetu🤗
Dear ladies and gentlemen, New stock ni 🔥🔥
Wateja wetu wa jumla wa mikoani, pasaka c ndo hiiiii…..
Toeni order hizo mapemaa, kabla hamjaambiwa zimekwsha🤗
13000 jumla na reja reja ni 15000
Tupo kkoo, jengo la simba na sandaland….
Kama bdo una was was na tshirt zetu, tuko pale tumekaa, maana najua mtakuja tuu🤣🤣