Description
Mzigo mpya wa tshirt zenye quality nzur, affordable, zipo dukan
Waliopokea mizigo yetu wanaelewa na tunashukuru sn
Kwa wateja wa mikoani wanaotaka kwa ajili ya kuuza au kuvaa pia tunatuma kwa uaminifu
☘️13000 jumla
☘️15000 reja reja
Tupo msimbazi B, jengo la simba na sandaland
0768326201 W/app 0654382858 Call
Karibuni sana!!