?MOTOR GATE . . ?Hii inaifanya Gate lako kuwa automatic, hautohitaji mtu kukufungulia wala kukufungia gate. Utaweza ku control G

In Mobile Accessories
TZS 1,550,000
?MOTOR GATE
.
.
?Hii inaifanya Gate lako kuwa automatic, hautohitaji mtu kukufungulia wala kukufungia gate. Utaweza ku control G
  • ?MOTOR GATE
.
.
?Hii inaifanya Gate lako kuwa automatic, hautohitaji mtu kukufungulia wala kukufungia gate. Utaweza ku control G

Description

🔴MOTOR GATE

.

.

💢Hii inaifanya Gate lako kuwa automatic, hautohitaji mtu kukufungulia wala kukufungia gate. Utaweza ku control Gate lako kwa kutumia remote tu hata ukiwa umbali wa mita 100

.

. 💢Gates za hivi zinadumu sana, na pia zinasaidia sana kwenye kuimarisha ulinzi wa nyumba/ofisi yako. Hautohitaji tena kusumbuka kwenda kumfungulia mgeni wako gate

.

.💢Hautohitaji kufuli ili ku-lock gate lako, utahitaji kuwa na remote yako tu ili ku-lock na ku un-lock gate lako

.

.skmquality skmquality_ tunakufanyia installation ya Gate motor kwenye Gate lako kwa gharama nafuu sana na huduma za uhakika

.

.💢Package yetu inakuwa na : Operator, Foundation plate, Controller/ 2A SM Charger, 7Ah Battery, 4m Steel Rack and 2×4 Button NOVA Txs

BEI: 1,550,000/= inajumlisha na gharama ya ufundi.

Karibuni sana skmquality skmquality_ . Njoo DM, Whatsapp, sms au tupigie kwa namba zetu ili tukuhudumie 0745146690 / 0656190449