MAKARI EXCLUSIVE BODY MILK 500 ML ?: MAKARI inajulikana kwa ushujaa wake wa natural ingredients na products zao HAZINA CHEMICAL

TZS 220,000
MAKARI EXCLUSIVE BODY MILK 500 ML

?: MAKARI inajulikana kwa ushujaa wake wa natural ingredients na products zao HAZINA CHEMICAL
  • MAKARI EXCLUSIVE BODY MILK 500 ML

?: MAKARI inajulikana kwa ushujaa wake wa natural ingredients na products zao HAZINA CHEMICAL

Description

MAKARI EXCLUSIVE BODY MILK 500 ML

💯: MAKARI inajulikana kwa ushujaa wake wa natural ingredients na products zao HAZINA CHEMICALS na ni SAFE kabisa kutumia kwa kila skin types.

Hii ndio maximum formula ya MAKARI ilio na NATURAL ingredients kwa ajili ya kun'garisha na kurekebisha ngozi yako na kuondoa madoa na alama alama sugu na kuipa rangi nzuri bila kuchubua wala kuharibu ngozi yako

✅: Ina natural Organiclarine ambayo ni nzuri na yenye kufaa kwa ajili ya kupambana na kuondoa alama alama na madoa ya hyperpigmentation, melasma, age spots zilizo shindikana.

✅: Inapunguza muonekano wa alama za hyperpigmentation, melasma na makovu na kuondoa weusi na kukupa even skin tone.

✅: Inarudisha ngozi yako asili na kuleta muonekano wenye afya na wenye nuru.

Hii lotion ni safe kwa kila skin type except sensitive

Usitumie zaidi ya mara 3 kwa wiki

Pia usitumie usoni

BEI: 220,000 TZS