Description
LIGHTEN UP MILK PROTEIN LOTION🥛
🥛hii lotion imetengenezwa na maziwa na protein ya kutosha
🥛ina repair ngozi iliyoharibika na cream kali
🥛inang’arisha ngozi vizuri mnoo bila kuacha sugu
🥛inaondoa weusi mwilini
🥛inafanya ngozi kuwa soft na laini mnoo
🥛haichubui kabisa
🥛inaondoa mikunjo katika ngozi
🥛inakupa rangi moja nzuri sanaa
🥛unaweza kuchanganya na serum yake au ukapaka yenyewe
🥛ni kiboko ya matatizo yote ya ngozi
🥛bei lotion 135,000
Serum 45,000
Face cream 90,000