Description
LIGHTEN UP ANTI AGING LOTION
🍒hii ni maalum kwa wale ambao umri umeenda kidogo
🍒ina repair ngozi iliyoharibika na cream kali
🍒inang’arisha ngozi vizuri mnoo bila kuacha sugu
🍒inaondoa weusi mwilini
🍒inafanya ngozi kuwa soft na laini mnoo
🍒haichubui kabisa
🍒inaondoa mikunjo katika ngozi
🍒inakupa rangi moja nzuri sanaa
🍒unaweza kuchanganya na serum yake au ukapaka yenyewe
🍒ni kiboko ya matatizo yote ya ngozi
🍒bei lotion 135,000
Serum 45,000
Face cream 90,000
Shower gel 70,000