????kutoka kwetu,tunashukuru mnoo kwa support yako kipenzi chetu? #repost joycekiriaofficial ・・・ Tafsiri ya Super Woman kwangu

TZS 400,000
????kutoka kwetu,tunashukuru mnoo kwa support yako kipenzi chetu?

#repost joycekiriaofficial
・・・
Tafsiri ya Super Woman kwangu
  • ????kutoka kwetu,tunashukuru mnoo kwa support yako kipenzi chetu?

#repost joycekiriaofficial
・・・
Tafsiri ya Super Woman kwangu

Description

πŸ‘—πŸ‘—πŸ‘—πŸ”₯kutoka kwetu,tunashukuru mnoo kwa support yako kipenzi chetuπŸ™

#repost joycekiriaofficial

・・・

Tafsiri ya Super Woman kwangu ni yule mwanamke ambae amechagua kupambania maisha yake na kuzikabili changamoto zote zinazokuja mbele yake bila kukata tamaa πŸ‘πŸ½

Namshukuru Mungu sana kutoka kuwa dada wa kazi za nyumbani, mshahara wangu ulikuwa elfu 5 tuu, leo hii nimefanikiwa kuwapigania wenzangu wadada wa kazi za ndani kupitia taasisi yangu ya kutetea sekta ya kazi za ndani kuna dada ameajiriwa leo analipwa 400,000 πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½ nafasi ya laki 4 imepata mtu πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

Naimani ipo siku jamii itathamini mchango huu mkubwa naotoa πŸ™πŸ½

Hongera sana dada Joyce joycekiriaofficial