Description
❤KARIBU beauty_world_cosmetics TUKUHUDUMIE❤
>>CERAVE SA SMOOTHING CLEANSER
~~PRICE 75,000/=
●Hii cleanser ni mkombozi wa wale wenye ngozi kavu, ngozi ile ambayo sio laini, ngozi yenye vipele na ngozi inayobanduka
●inaweka unyevu wa kutosha kwenye ngozi na kuisaidia ngozi ibaki na unyevu
●inasaidia kulainisha ngozi iliyo ngumu, na kuzuia ngozi isibanduke
●inasaidia kulainisha vile vipele vinavyotoke kwenye ngozi..... vile vipele vinavyofanya ngozi isiwe smooth ●inafanya ngozi iwe inateleza na kua nuru
●unarutubisha ngozi yako na kuzuia ngozi yako isipate matatizo ya ngozi
Tunapatikana tanga mjini karibu na Bank ya NMB bank madaraka mkabala na eckernforde university
Call or WhatsApp #0718575341 #0743438083
#cerave#cleanser#smoothing#skincare