Description
❤KARIBU beauty_world_cosmetics TUKUHUDUMIE❤
>>CERAVE SA SMOOTHING CREAM
~~PRICE 90,000/=
~~Kama una ngozi ambayo sio laini yaani ukijigusa unahisi roughness basi hii moisturiser ndo suluhisho lako. Yaani this is a life saver.
💫Inasaidia kuondoa celi za ngozi zilizo kufa zinazo sababisha ngozi kuwa rough (ngumu na kavu).
💫Ngozi ina kuwa laini na nyororo.
💫Ngozi ina kuwa yenye mvuto, ukavu unapotea na nuru ina ongezeka.
💫Ngozi inakuwa yenye afya.
💫Inasaidia kulinda ngozi muda wote.
.
Tunapatikana Tanga mjini karibu na bank ya NMB ya madaraka mkabala na eckernforde University
Call or WhatsApp #0718575341 #0743438083
#cerave#smoothingcream#skincare