Description
❤KARIBU beauty_world_cosmetics TUKUHUDUMIE❤
>>NIVEA EXTRA RICH MOISTURISING LOTION
~~PRICE 35,000/=
~~Hii lotion ni kwa ajili ya wale wenye kavu(dry skin)
inalainisha ngozi
🎇Inafanya ngozi iwe laini
🎇Inafanya ngozi inakua inang’aa vizuri
🎇Inafanya ngozi inakua nyororo ya kuteleza
🎇Inafanya ngozi inakua na unyevu wakati wote
🎇Inafanya ngozi iwe na muonekano mzuri wenye afya
~~Inafaa kwa familia nzima
Tunapatikana Tanga mjini mkabala na eckernforde University
#0718575341 #0743438083
#nivea#lotion#skincare#dryskin