Description
❤KARIBU beauty_world_cosmetics TUKUHUDUMIE❤
>>T444z HAIR FOOD
~~PRICE 60,000/=
.
~~Hii ndio kiboko kwa kukuza nywele, kufanya nywele zako zijae, zisikatike, na ziwe strong. Kama bado hujatumia hizi products jaribu ujionee
🧡Zinakuza nywele haraka
🧡Zinajaza nywele
🧡Zinazuia nywele zisikatike
🧡Zinaweka unyevu kwenye nywele
🧡Zinasaidia kuzui mba na kuondoa mba
🧡Zinafaa kwa nywele za aina zote
🧡Zinafaa kwa wanawake na wanaume
Tunapatikana Tanga mjini mkabala na eckernforde University
Call or WhatsApp #0718575341 #0743438083
#t444z#hairfood#haircare