Description
Jergens Ultra Healing Body Lotions available
TSHS 50,000
.
.
.
🌺Inafanya ngozi laini na nyororo.
🌺Inasaidia kurepair ngozi
ambayo ni kavu sana kwa kuipa unyevu na kuirudisha katika hali nzuri.
🌺Ngozi inakuwa na afya na yenye kuvutia.
🌺Ina ng'arisha na kusaidia ngozi isizeeke.
🌺Ina vitamin C & E ambazo ni muhimu sana kwenye urutubishaji wa ngozi.
🌺Hii lotion ni amazing yaani ukipakaa unaona tofauti kubwa hapo hapo.
🌺Inafaa wanawake na wanaume.
.
.
.
Call or whatsapp ☎️📞📱 +255 65 918 9769, +255 746 666 686 or +255 763 543 342
TUNAFANYA DELIVERY NA MKOANI TUNATUMA KWA GHARAMA ZAKO.
We are located in Dar Free Market Mall, 1st Floor, Oyster Bay, Ally Hassan Mwinyi Road, near the Embassies of Kenya and France.
Opening Hours (Muda wa kazi):
Mon-Sat: 8am-8pm
Sunday: 10am-6pm
#JergensAtzurii
#skincareatzurii