Description
HT26 Action Taches Soin Intensive Concentrated 500ml
Action Taches concentrated intensive care with carrot oil ni mafuta ya HT26 yaliyo tengenezwa na ingredients nzuri na salama kwa ajili ya kupambana na matatizo ya hyperpigmentation na kuondoa madoa doa mwilini.
💚: Inaleta unyevu wa kutosha mwili mzima.
💚: Inan'garisha na kutakatisha ngozi yako bila kuchubua na kufanya uwe na rangi moja kote.
💚: Inalainisha na kusoftisha ngozi yako
BEI: 130,000 TZS
Kwa matokeo mazuri inashauriwa kujipaka after bath na
HT26 - Scrubbing Soap