Description
HT26 Action Taches Soin Intensive Concentrated 500mlβ£
Action Taches concentrated intensive care with carrot oil ni mafuta ya HT26 yaliyo tengenezwa na ingredients nzuri na salama kwa ajili ya kupambana na matatizo ya hyperpigmentation na kuondoa madoa doa mwilini.
π: Inaleta unyevu wa kutosha mwili mzima.
π: Inan'garisha na kutakatisha ngozi yako bila kuchubua na kufanya uwe na rangi moja kote.
β£
π: Inalainisha na kusoftisha ngozi yako
β£
BEI: 130,000 TZS
________________________________________________
π¦ : HOW TO ORDER
π : π³πππππππ: Dar Free Market mall shop nΒ° M61
π² : πΎπππππππ: +32485586720
π : π«πππππ ππππ: 0759 105 088