Description
Hizi body cream zote ni zinafanya kazi moja (unatumia moja wapo, apo tofauti ni favour)
Hii set inakupatia rangi moja mwili mzima
Ukimix na ricorice serum unazidi kung'aa
Ukimix na oil unapata glowing skin mwili mzma inalainisha sana ngozi
Pia inaondoa madoa, michirizi na kusoftsha sana ngozi
Ngozi inakua na unyevunyevu muda wote
Body cream 50000
Ricorice serum 60000
Body oil 30000
Soap 45000
Call/whatsap 0713566256/0744969179
Tupo kinondoni na temeke
Tunafanya delivery na mikoani tunatuma