Description
Hii ni moja kati ya serum kiboko sana in my wish list. Tia’m Vita B3 serum is really AMAZING! A good and power brightening serum because of the combination 10% Niacinamide + 2% Arbutin. Both ingredients are good for brightening effect in skincare. This power serum really work well husaidia sana kwenye makovu na pigmentetions its one of the best
Hii ni ile serum itakayo target makovu na uneven skin tone ( Rangi
isiyoeleweka usoni) na kukupa a brighter complexion.
Najua wengi sana tunaiona Niacinamide lakini hatujui sana kwa
undani na faida zake kedekede.
- Nicotinamide a Niacinamide ni vitamin na Antioxidant ( Water
soluble) ambayo ni muhimu sana kwene ngozi zetu lakini kwa
bahati mbaya, mili yetu haizalishi hizi vitamins hivyo ni lazma
tuzipate kutoka kwenye sources za nje, mfano kwenye chakula au
skincare.
- Niacinamide itasaidia sana ku restore cellular energy ( kuzipa
afya seli za ngozi yako), ku repair damaged DNA, na kupunguza
Athari za mionzi ya jua zilizotokea kwenye ngozi. Na si hivyo tu,
itasaidia sana kupambana na pigmentation mfano makovu au
brown spots, wekundu usoni na kukupa ngozi iliyo bright and
healthy. Pia niacinamide itasaidia ku " lock in" unyevu kwenye
ngozi yako, kuimarisha ngozi yako na kupambana na dalili za uzee.
Isn't this what dreams are made of?
Je what of Arbutin, ni nini hii?
- Arbutin inatengenezwa toka kwenye majani ya matunda kama
bearberry (uva-ursi), pear and cranberry, na mara nyingine
kutengenezwa synthetically.
Hi ni ingredient ambayo watu wengi huiita " Brightener" kwani
ni kinara sana kwenye kupambana na makovu ya chunusi, kukupa
rangi moja usoni, na ku prevent future freckles and
hyperpigmentation from developing, even after a sunburn( Wear
your suncream though:)).
§Na je unajua kwamba Arbutin ni mbadala wa asili wa
Hydroquinone? Na ni ingredient salama na ya asili
itakayopendezeaha ngozi yako bila kukupa athari yoyote?
Toner 90000tsh
Serum 90000tsh
📍L O C A T I O N: M L I M A N C I T Y
☎️ P H O N E / W H A T S A P P:+ 2 5 5 7 1 8 8 9 5 0 1 5
⏰ O P E N : 9 AM, C L O S E: 9 P M
🛒 P I C K U P & 🛍 D E L I V E R Y ( M I K O A N I T U N A T U M A )
DENOSH COSMETICS YOUR PROFFESIONAL BEAUTY