Description
God's Kingdom International Ministries
INAKUALIKA
GOKIM 4TH FAMILY FUN DAY
JUMAMOSI 25/02/2023
Vikawe, Bonde la Utukufu
Saa 2 Hadi saa 7 mchana
HAKUNA KIINGILIO
-Michezo ya Watoto
-Viburudisho
-Kuzungumza na Kufahamiana
- Kukata Keki
- Burudani
-Matembezi km 4 kuaanzia uwanja wa Vikawe Shule saa 1 Asubuhi.
Dress Code:
Tshirt na Jeans
TSHIRT ZIPO 25,000TZS
Mawasiliano
0672249842 /0758119214