Extreme Argan & Carrot Oil Tone Boosting Body Lotion ??: Lightening lotion yenye mchanganyiko wa Argan Oil na Carrot oil yenye

TZS 220,000
Extreme Argan & Carrot Oil Tone Boosting Body Lotion

??: Lightening lotion yenye mchanganyiko wa Argan Oil na Carrot oil yenye
  • Extreme Argan & Carrot Oil Tone Boosting Body Lotion

??: Lightening lotion yenye mchanganyiko wa Argan Oil na Carrot oil yenye

Description

Extreme Argan & Carrot Oil Tone Boosting Body Lotion

🍊🥕: Lightening lotion yenye mchanganyiko wa Argan Oil na Carrot oil yenye vitamine E, A na C, mchanganyiko mzuri sana kwa ajili ya kutibu, kulinda, kurekebisha na kun'garisha ngozi yako bila kuichubua na kuifanya iwe nzuri, nyororo, laini na yenye afya nzuri. 🥕🍊

✅: Inan'garisha na kutakatisha ngozi bila kuichubua.

✅: Inasaidia kuondoa na kupunguza muonekano wa makovu, madoa na alama alama mwilini.

✅: Inaipa ngozi yako nuru na muonekano wa kuglow.

✅: Inaleta muonekano wa rangi moja mwili mzima. ( Even skin tone)

✅ Ngozi inakua nzuri tena yenye muonekano wa kuvutia.

BEI: 220,000 TZS