Description
Extra Sausages Large Chapati Veggies hii ni Chapati yenye layers za Mayai, Sausages, mbogamboga🥕🫑🥬
Bei yake ni 18,000 Tshs tu full ✅
Tunapatikana Sayansi karibu na mataa, barabara ya Kijitonyama [ilipo adeckjuice], pia tunafanya delivery kwa gharama nafuu 💯.
Unaweza kuagiza Chakula chako kwa kubonyeza link kwenye bio yetu au kwa kupiga 0756958798 au 0788794229 ✅. Tupo wazi kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 3 na nusu usiku kila siku (closed on Wednesdays)
#chapati #chickenrecipes #daressalaam #foodporn #Tanzaniachef #chefkile #igfoods #beef #foodinspiration #foodie #africanfood #bellasroti #tanzaniafood