duka_la_jumla Tumeamua kuwashika mkonoo followers wangu wapendwa sana wanaonifollow na kunipa support Kila kukichaa? Nimekuja ku

TZS 10,000
duka_la_jumla Tumeamua kuwashika mkonoo followers wangu wapendwa sana wanaonifollow na kunipa support Kila kukichaa? Nimekuja ku
  • duka_la_jumla Tumeamua kuwashika mkonoo followers wangu wapendwa sana wanaonifollow na kunipa support Kila kukichaa? Nimekuja ku

Description

duka_la_jumla Tumeamua kuwashika mkonoo followers wangu wapendwa sana wanaonifollow na kunipa support Kila kukichaa🙏 Nimekuja kugundua Wengiii sana wanataman sana kufanya Biashara lakin mitajii imekua changamoto sasa nikaona nije na hii plan B ya kuwasaidia hata wale wenye Mitaji midogo ya 10,000 kumi tu nao waweze kupata Bidhaa kutokana na mtaji wao ili wakaanze kujitafuta💪

Kwa 10,000 hiyo Atapata pete nzuri sana 10 ambazo kila pete akiuza 2000 au 3000 hadi 5000 basi watajitengenenezea faida nzuri mnoo

Ambayo itawatoa hatua moja had nyingine na kuanza safari ya kutumiza ndoyo Zao💪

KUNDI LA PILI

Hata kama ni mfanya Biashara Tayari njoo chukua pete 10 Nzuri ukauzee ujiongezee faida tofsuti na faida unazopata kwenye bidhaa nyingine au hiii faida ya pete ukaitumia kuchezea michezo, vikobaa au matumizi mengine madogo madogo

Wahiii fursaa hii kwa 10,000 Tu kabla haijashambuliwaaa😂