Description
DARK SPOT CORRECTING GLOW SERUM BY AXIS Y
Kiboko ya makovu, ku improve skin tone yako, huku ikliacha ngozi yako ikiwa nakangozi flani cha kuglow & smooth kama unahangaika na chunusi na makovu haya sasa Mkombozi ndo huyu
Kama unahangaika na chunusi, hyperpigmentation , na madoa yaliyo shindikana
Serum hii ina brightening ingredients kama Niacinamide + Rice
Bran.
Brightening ingredients (niacinamide and rice bran) are combined
together in an appropriate ratio to create an effective tone up
function.
NIACINAMIDE (5%),ni ingredient itakayosaidia ku improve uneven
skin tone, dullness, and weakened skin barrier.
RICE BRAN EXTRACT a yenyewe ni ingredient itakayosaidia ku
improve skin hydration, pigmentation, thickness and skin elasticity.
A study on Rice Bran bioactive compounds (gamma-oryzanol,
ferulic acid and phytic acid) iliyohusisha 30 human
volunteers, ilionyesha mabadiliko makubwa kwenye hydration,
pigmentation, thickness and roughness, and skin elasticity, baada
ya siku 28 tu.
Ingredients nyingine ni pamoja na:
-SQUALANE, a natural antioxidant inayoshabihiana na mafuta
yanayozalishwa na ngozi zetu na itasaidia sana, ku fight free
radicals and protect the skin from undue aging na ni great
moisturizer that makes your skin nice and smooth, without being
heavy or greasy.
SEA BUCKTHORN; Ingredient inayo contain nutrients na
phytonutrients aina takriban 190, ina Vitamin A mara tatu zaidi ya
Carrots na ina Vitamin C mara 12 zaidi ya Machungwa na ni
ingredient itakayosaidia sana kufanya ngozi yako kua bright and
smooth, kusaidia na wekundu na inflammation usoni na kukupa
rangi moja usoni pamoja na ku boost elasticity na hydration.
Pia humu ndani kuna GLUTATHIONE,
CALENDULA, PAPAYA
EXTRACT, ALLANTOIN pamoja na ACEROLA FRUIT EXCTRACT; a
combination of very beautiful brightening ingredients.
85000tsh
📍L O C A T I O N: M L I M A N I CITY
☎️ P H O N E / W H A T S A P P:+ 2 5 5 7 1 8 8 9 5 0 1 5
⏰ O P E N : 9 AM, C L O S E: 9 P M
🛒 P I C K U P & 🛍 D E L I V E R Y ( M I K O A N I T U N A T U M A )