Description
BLACK FRIDAY OFFER BADO INAENDELEA WAHI SASA 📢📢📢
Mtanzaniaaaaaaa
Isikie classic finishes ikikuita na kukuonesha upendo msimu huu wa mwisho wa mwaka.
Mdau wangu HII NI KUBWA KULIKO ni BLACK FRIDAY OFFER kutoka classic_finishestz
Sasa WALL PANEL ZOTE UNAZIPATA KWA BEI YA 40,000TSH per pc.
Useme nini tena na bei ni kitonga.
Wall panel hizi zinakaa kwenye
🐾TV showcase unit
🐾Madhabahuni
🐾Reception desk
🐾Kitchen counter
🐾Front desk - maofisini
🐾Bar Counter
Kubadili muonekano wa eneo lako na kuwa bomba zaidi, hilo NI UHAKIKA.
Fika sasa kwenye showroom yetu iliyopo Kawe Mbezi Chini barabara ya Mwai Kibaki uweze kuchagua wall panel upendazo. Tupigie sasa kwa namba
0747 753 566
0735 282 811
classic_finishesbranch