Description
Baby bottle BPA FREE (260mls) INA MKONO UNAOWEZA KUUTOA NA KUURUDISHIA
📌Huu mkono humsaidia mtoto kujifunza kushika na kunywa mwenyewe pindi afikapo umri huo
✔️Ni nzuri sana na chuchu yake laini kama chuchu ya mama
Anatumia kuanzia mtoto mchanga na kuendelea
📌Hizi chupa ni anti colic husaidia mtoto asipate gesi
BEI: 20,000 moja
22,000 (340mls)
📌Delivery ipo, Mikoani na Nchi jirani tunawatumia
Call/ wasap #0656080098
DUKA LIPO SINZA KUMEKUCHA KITUONI UTAONA BANGO LIMEANDIKWA KIDS FASHION EMPIRE