Baada ya Mzigo mpya wa *SKIRTING* kurudi tena SPC material ngumu na imara sana. Wadau wanazidi kuchangamkia SKIRTING hizi kwa

TZS 30,000
Baada ya Mzigo mpya wa *SKIRTING* kurudi tena SPC material ngumu na imara sana. 

Wadau wanazidi kuchangamkia SKIRTING hizi kwa
  • Baada ya Mzigo mpya wa *SKIRTING* kurudi tena SPC material ngumu na imara sana. 

Wadau wanazidi kuchangamkia SKIRTING hizi kwa

Description

Baada ya Mzigo mpya wa *SKIRTING* kurudi tena SPC material ngumu na imara sana.

Wadau wanazidi kuchangamkia SKIRTING hizi kwa ajili ya kupendezesha Nyumba,Ofisi.

Bei yake ni 30000 kwa piece.

Urefu ni 240Cm, upana Cm 9

Zinafaa katika Matumizi ya(Project yoyote ile) iwe ya MKEKA WA MBAO, TILES , TERRAZZO, LAMINATE FLOORING na kadhalika.

1.Haziozi wala kuliwa na Mchwa.

2.Ni waterproof(Haziathiriwi na Maji) na ni rahisi kusafishika.

3.Zinaongeza uzuri sehemu yoyote ile ulipoziweka.

4.Zinahamishika na kutumika tena.

5.Zinalinda kuta za Nyumba zisipate dhoruba.

Tunapatikana

Kawe-Mwai Kibaki Road (MBEZIYACHINI)

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba hizi

☎️☎️0747753566

☎️☎️0735282811

MADALE BRANCH PIGA NAMBA HII

☎️☎️0655819992