Description
Am gold and you? 🪐🪙
FAIR & WHITE GOLD 2 REVITALIZING face cream.
The word revitalize means to renew, repair or bring back life to something 😍🌟
Mafuta original ya FAIR AND WHITE kutoka fw_paris yenye mchanganyiko wa sweet almond oil na shea butter.
🪙: Yanan'garisha na kutakatisha bila kuchubua ngozi yako.
🪙: Yana hydrates ngozi yako vizuri na kuleta unyevu siku nzima.
🪙: Inasababisha ngozi yako iwe na muonekano wenye rangi moja na yenye kuvutia zaidi.
🪙: Inasaidia kupunguza na kuondoa muonekano wa madoa na alama alama mwilini. (Hyperpigmentation)
🪙: Inasababisha ngozi yako iwe laini, nyororo na yenye kuwaka.
BEI: 40,000 TZS