Description
24K Gold Replenishing Night Face Cream
Ni Rich Luxuriously night face cream yenye mchanganyiko wa 24k gold flakes, probiotics, omega complex, Pure Hyaluronic Acid, Salicylic Acid, Citric Acid, Benzyl Salicylate,.. ingredients za kibabe kwa ajili ya kurekebisha na kuondoa imperfections zote kwenye ngozi yako na kukupa muonekano wenye nuru π.
π§‘: Inaleta unyevu unao stahili.
π§‘: Inaboost uzalishaji wa collagen.
π§‘: Ngozi inakua laini na nyororo na yenye mvuto.
π§‘: Inaondoa mikunjo kunjo na dalili za uzee tena kwa haraka mno.
π§‘: Ngozi inakua na muonekano mzuri tena wenye usawa (even skin texture)
π§‘: Ina nga'risha na kutakatisha ngozi yako na kuleta muonekano wa rangi moja bila kuichubua wala kuiharibu ngozi yako.
BEI: 220,000 TZSH
______________________________________________
π : π³πππππππ: Dar Free Market mall shop nΒ° M61
π² : πΎπππππππ: +32485586720
π : π«πππππ ππππ: 0759 105 088