Description
.2021 round WATCH (HW21model )
Price = elfu 95 fixed 🔒
Features zake
.◼️BLACK COLOR
◼️Ina battery nzuri kukaa hadi siku 5-6
◼️unaweza weka 😃(PICHA YAKO )😃 kama watch face kutoka kwenye gallery ya simu yako na ina watch face kadhaa nyingne unaweza weka kupitia app
◼️kioo ni full touch
◾️inapima Body temperature test
▪️inapima Heart Rate, BP & ECG
◾️unaweza badili mikanda
◾️Inatumika kwenye simu zote android na ios
◾️IP68 waterproof haiingii maji
◼️inapokea notifications mbali mbali kutoka kwenye mitandao ya kijamii kama instagram,whatsapp,Facebook,Twitter ,emails mesej za kawaida 📲etc kwenye calls ina vibrate na kuonesha anaekupigia simu
▪️ina find my phone feature
◼️ina tumia app inayoitwa WEAR FIT pro
Ambayo inaweza weka data zako nyingi za ki afya na ina watch faces nying za kubadilisha kwenye saa yako
◼️ina Pedometer inayo hesabu Exercise steps, calorie consumption, exercise mileage record
◾️ina latest bluetooth 5.2
◼️unaweza control music au kupiga
picha kama rimoti ya kamera ya simu
◼️ina sleeping track monitor
Ni saa nzuri sana sana karibuni bei ni nafuu kabisa
◼️
ELFU 95 tu
D
ar mjini delivery bure
Mikoani tunatuma kwa shilling elfu 5 tu
tunapatkana Dar es salaam
kwa masiliano
call/whatsapp 0713358355
Au Bonyeza Link kwa bio
+8615543380972
🔥 🔥