Hii ni moja kati ya serum kiboko sana in my wish list. Tia’m Vita B3 serum is really AMAZING! A good and power brightening seru

TZS 90,000
Hii ni moja kati ya serum kiboko sana in my wish list. Tia’m Vita B3 serum  is really AMAZING! A good and power brightening seru
  • Hii ni moja kati ya serum kiboko sana in my wish list. Tia’m Vita B3 serum  is really AMAZING! A good and power brightening seru

Description

Hii ni moja kati ya serum kiboko sana in my wish list. Tia’m Vita B3 serum is really AMAZING! A good and power brightening serum because of the combination 10% Niacinamide + 2% Arbutin. Both ingredients are good for brightening effect in skincare. This power serum really work well husaidia sana kwenye makovu na pigmentetions its one of the best

Hii ni ile serum itakayo target makovu na uneven skin tone ( Rangi

isiyoeleweka usoni) na kukupa a brighter complexion.

Najua wengi sana tunaiona Niacinamide lakini hatujui sana kwa

undani na faida zake kedekede.

- Nicotinamide a Niacinamide ni vitamin na Antioxidant ( Water

soluble) ambayo ni muhimu sana kwene ngozi zetu lakini kwa

bahati mbaya, mili yetu haizalishi hizi vitamins hivyo ni lazma

tuzipate kutoka kwenye sources za nje, mfano kwenye chakula au

skincare.

- Niacinamide itasaidia sana ku restore cellular energy ( kuzipa

afya seli za ngozi yako), ku repair damaged DNA, na kupunguza

Athari za mionzi ya jua zilizotokea kwenye ngozi. Na si hivyo tu,

itasaidia sana kupambana na pigmentation mfano makovu au

brown spots, wekundu usoni na kukupa ngozi iliyo bright and

healthy. Pia niacinamide itasaidia ku " lock in" unyevu kwenye

ngozi yako, kuimarisha ngozi yako na kupambana na dalili za uzee.

Isn't this what dreams are made of?

Je what of Arbutin, ni nini hii?

- Arbutin inatengenezwa toka kwenye majani ya matunda kama

bearberry (uva-ursi), pear and cranberry, na mara nyingine

kutengenezwa synthetically.

Hi ni ingredient ambayo watu wengi huiita " Brightener" kwani

ni kinara sana kwenye kupambana na makovu ya chunusi, kukupa

rangi moja usoni, na ku prevent future freckles and

hyperpigmentation from developing, even after a sunburn( Wear

your suncream though:)).

§Na je unajua kwamba Arbutin ni mbadala wa asili wa

Hydroquinone? Na ni ingredient salama na ya asili

itakayopendezeaha ngozi yako bila kukupa athari yoyote?

Toner 90000tsh

Serum 90000tsh

📍L O C A T I O N: M L I M A N C I T Y

☎️ P H O N E / W H A T S A P P:+ 2 5 5 7 1 8 8 9 5 0 1 5

⏰ O P E N : 9 AM, C L O S E: 9 P M

🛒 P I C K U P & 🛍 D E L I V E R Y ( M I K O A N I T U N A T U M A )

DENOSH COSMETICS YOUR PROFFESIONAL BEAUTY