??'? ????????? ? Borussia Dortmund huwa hawajawahi kukosea kabisa linapokuja swala zima la kutoa jezi zao

TZS 18,000
??'? ????????? ?

Borussia Dortmund huwa hawajawahi kukosea kabisa linapokuja swala zima la kutoa jezi zao
  • ??'? ????????? ?

Borussia Dortmund huwa hawajawahi kukosea kabisa linapokuja swala zima la kutoa jezi zao

Description

𝑰𝒕'𝒔 𝑩𝑬𝑨𝑼𝑻𝑰𝑭𝑼𝑳 πŸ₯°

Borussia Dortmund huwa hawajawahi kukosea kabisa linapokuja swala zima la kutoa jezi zao πŸ”₯ !!

Rasmi sasa Klabu ya Borussia Dortmund wametoa uzi wao mpya wa nyumbani ambao watautumia kwa msimu ujao wa mwaka 2022/23

Unaipa alama ngapi jezi hii yenye rangi za Njano na Nyeusi πŸ’›πŸ–€ ?

-

𝗒𝗙𝗔 ! 𝗒𝗙𝗔 ! 𝗒𝗙𝗔 !

Jezi za timu za kutoka nje ya nchi kwa sasa tunakupatia kwa bei pungufu ya Tsh 18,000 tu πŸ”₯πŸ™†β€β™‚οΈ !!

Karibu Dukani kwetu tukuhudumie, Kwa Dar Es Salaam Tunapatikaba Dar Free Market Mall, Tupigie kwa Namba za simu +255 626 348 412 kwa maelezo zaidi

#M9SportsStore