TZS 20,000

Description

𝐇𝐀𝐓𝐔𝐀 𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐂𝐇𝐔𝐊𝐔𝐀 𝐈𝐋𝐈 𝐊𝐔𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐇𝐀𝐓𝐈𝐌𝐈𝐋𝐈𝐊𝐈(𝐓𝐈𝐓𝐓𝐋𝐄 𝐃𝐄𝐄𝐃) 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐌𝐉𝐈𝐍𝐈

1.Eneo husika lazima liwe limetangazwa kuendelezwa 𝙆𝙄𝙈𝙄𝙋𝘼𝙉𝙂𝙊 𝙈𝙄𝙅𝙄 (Planning areas).

2.Eneo liwe limeandaliwa 𝙈𝘾𝙃𝙊𝙍𝙊 𝙒𝘼 𝙈𝙄𝙋𝘼𝙉𝙂𝙊 𝙈𝙄𝙅𝙄 na kusajiliwa wizarani.

3.Eneo liwe 𝙇𝙄𝙈𝙀𝙋𝙄𝙈𝙒𝘼 kwa kufuata mchoro wa mpango mji uliopo na kupata usajili kwa Ramani hiyo ya upimaji wizarani.

4.Baada ya hapo taratibu za kuomba kumilikishwa kiwanja/eneo lako zinafuata kwa 𝙆𝙐𝙅𝘼𝙕𝘼 𝙁𝙊𝙍𝙈 𝙔𝘼 𝙈𝘼𝙊𝙈𝘽𝙄 𝙔𝘼 𝙆𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼(𝐋𝐚𝐧𝐝 𝐅𝐨𝐫𝐦 𝐍𝐚.19).

5.Ukisha kubaliwa maombi ya kupata kiwanja utatakiwa 𝙆𝙐𝙇𝙄𝙋𝙄𝘼 𝙂𝙃𝘼𝙍𝘼𝙈𝘼 𝙕𝘼 𝙆𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 husika(𝐏𝐥𝐨𝐭 𝐏𝐫𝐢𝐜𝐞) amabayo itategemeana na ukubwa na matumizi ya kiwanja.

6.Baada ya kulipia kiwanja utaandikiwa nyaraka ya Ankara ya 𝙈𝘼𝙇𝙄𝙋𝙊 𝙔𝘼 𝙂𝙃𝘼𝙍𝘼𝙈𝘼 𝙕𝘼 𝙃𝘼𝙏𝙄 ( 𝐓𝐢𝐭𝐭𝐥𝐞 𝐜𝐨𝐬𝐭𝐬) katika kiwanja chako.

Gharama hizi ni pamoja na:

a) 𝐏𝐫𝐞𝐦𝐢𝐮𝐦 𝐟𝐞𝐞.

Hii inatozwa 7.5%  ya thamani ya kiwanja (Land Value)

b) 𝐑𝐞𝐠𝐢𝐬𝐭𝐫𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐅𝐞𝐞

Hii inatozwa 20% ya kodi ya ardhi ya mwaka(𝐀𝐧𝐧𝐮𝐚𝐥 𝐋𝐚𝐧𝐝 𝐑𝐞𝐧𝐭)

𝐌𝐟𝐚𝐧𝐨:

kodi ya mwaka ya kiwanja ni 20,000/=,

RF=20,000/= X 0.2=4000/=

#milikikiwanjakilichopimwa # #malipokidogokidogo #milikikiwanjadar #milikikiwanjabagamoyo #wekezanasi #wekezakijana #wekezanaardhi #timizamalengoyako #2020 #followusnow #followusformoreinfomation #followusformoreupdates #followusoninstagram viwanja_vilivopimwa_dar

#instagood #instagain #instaforever #instawesnesday #wesndaymorning #biasharamtandaoni #realestate #viwanjadar #viwanjamalipokidogokidogo#viwanjamvuti#chanika#ilala#milleniumgoals#viwanjailala#viwanjambezi